KUITWA SHAURINI KWA MDENI MHUKUMIWA (FOMU MADAI 12)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya
Kituo cha Mkoa
Shauri la Madai/Ndoa Na /20
Jina la Mdai
Jina la Mdaiwa
KUITWA SHAURINI KWA MDENI MHUKUMIWA
(Kanuni ya 62 ya Kanuni za Uendeshaji Mashauri Mahakama za Mwanzo)KWA
KWAMBA Mdai ameleta maombi mbele ya Mahakama hii kwa ajili ya utekelezaji wa hukumu ya shauri tajwa hapo juu. Unatakiwa kufika mbele ya Mahakama hii tarehe mwezi mwaka kueleza kwanini hukumu isitekelezwe dhidi yako.
Hati hii imetolewa kwa amri na muhuri wa Mahakama leo tarehe
HAKIMU
Imepokelewa leo Tarehe Mwezi Mwaka
.................................................................
(Mdeni Mhukumiwa)
Nimewasilisha Wito wa kuitwa shaurini kwa Mdeni Mhukumiwa leo tarehe Mwezi Mwaka
(Sahihi ya Mwasilisha Wito wa Kuitwa Shaurini)