PINGAMIZI LA KUKAMATA MALI KUTOKA KWA MDENI MHUKUMIWA (FOMU MADAI 14)
Maelezo ya Mahakama
Wahusika
Maelezo ya Pingamizi
Tarehe ya Maombi
Imepokelewa
Sahihi ya Muombaji
Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)

GN. NO. 943 (Contd.) FOMU MADAI - 14
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA

Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya

Kituo cha Mkoa

Shauri la Madai/Ndoa Na /20

Jina la mdai

Jina la Mdaiwa

PINGAMIZI LA KUKAMATA MALI KUTOKA KWA MDENI MHUKUMIWA
(Kanuni ya 69 ya Kanuni za Utaratibu wa Madai katika Mahakama za Mwanzo)

Taja mali zilizokamatwa na sababu za pingamizi

Hivyo, naleta pingamizi katika Mahakama hii kwamba, amri ya kukamata mali tajwa hapo juu isitishwe ili kubaini uhalali wa ukamataji wa mali hiyo/hizo.

Maombi haya yameandaliwa leo Tarehe Mwezi Mwaka

MUOMBAJI

Imepokelewa leo Tarehe Mwezi Mwaka

...................
Sahihi ya Karani wa Mahakama
Data imehifadhiwa