HATI YA KUKAMATA MALI (FOMU MADAI 16)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya
Kituo cha Mkoa
Shauri la Madai/Ndoa Na /20
Jina la mdai
Jina la Mdaiwa
HATI YA KUKAMATA MALI
(Kanuni ya 56 & 63 ya Kanuni za Utaratibu wa Madai katika Mahakama za Mwanzo)Kwa
Baada ya kusikiliza ombi la lililofanywa tarehe Mwezi Mwaka , na kuridhika kwamba kuna sababu za kutosha kutoa amri ya kukamata Mali iliyotajwa katika orodha ya hapa chini.
Unaamriwa kukamata mali zilizotajwa katika orodha hapa chini na kurudisha Hati hii kabla ya tarehe Mwezi Mwaka pamoja na madhumuni yake kuthibitisha siku na namna ilivyotiinzwa au kwa nini haikutimizwa.
ORODHA
HAKIMU