HATI YA MAUZO (FOMU MADAI 18)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya
Kituo cha Mkoa
Shauri la Madai/Ndoa Na /20
Jina la Mwombaji Jinsia
Makazi Umri
Anuani ya Makazi Kazi
Simu Barua Pepe
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya
Kituo cha Mkoa
Shauri la Madai/Ndoa Na /20
Jina la Mdai
Jina la Mdaiwa
GN. NO. 943 (Contd.)
HATI YA MAUZO
(Kanuni ya 84(2) ya Kanuni za Utaratibu wa Madai Mahakama za Mwanzo)Hii ni kuthibitisha kwamba mali iliyopo eneo la wilaya ya iliuzwa kwa mnada wa hadhara Tarehe mwezi mwaka kwa kiasi cha shilingi
Aidha, hati hii inathibitisha kwamba mnunuzi ndugu ametangazwa kuwa ni mnunuzi halali katika mnada huo uliofanywa na
Kwa kuwa hakuna maombi yoyote yaliyowasilishwa ya kutengua mauzo hayo inatamkwa rasmi kwamba tokea tarehe ya leo mwezi mwaka ndugu ndiye mmiliki halali wa mali hiyo.
Hati hii imetolewa kwa amri yangu na muhuri wa Mahakama leo Tarehe Mwezi Mwaka
HAKIMU