MAOMBI YA GHARAMA ZA SHAURI (FOMU MADAI 20)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya
Kituo cha Mkoa
Shauri la Madai/Ndoa Na /20
Jina la mdai
Jina la Mdaiwa
MAOMBI YA GHARAMA ZA SHAURI
Kutokana na uamuzi wa Mahakama uliotolewa Tarehe Mwezi Mwaka Mimi katika shauri hili naomba kulipwa gharama za uendeshaji wa shauri katika Mahakama hii kama orodha inavyoonekana hapa chini.
*(ambatanisha vielelezo muhimu vya gharama za madai)
Muombaji
Imepokelewa leo Tarehe Mwezi Mwaka
Karani wa Mahakama