FOMU MADAI - 9
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya ....................................
Kituo cha ........................ Mkoa ........................
Shauri la Madai/Ndoa Na ................ /20 ..........
Jina la Mdai ................................
Jina la Mdaiwa ............................
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya ....................................
Kituo cha ........................ Mkoa ........................
Shauri la Madai/Ndoa Na ................ /20 ..........
Jina la Mdai ........................................... Jinsia ................
Makazi ........................................... Umri ................
Anuani ya Makazi ........................................... Kazi ................
Simu ........................................... Barua Pepe ................
Jina la Mdaiwa ........................................... Jinsia ................
Makazi ........................................... Umri ................
Anuani ya Makazi ........................................... Kazi ................
Simu ........................................... Barua Pepe ................
MAOMBI YA KUTENGUA AMRI YA KUFUTA SHAURI
(Kanuni ya 28 ya Kanuni za Utaratibu wa Mashauri ya madai Mahakama za Mwanzo)Tarehe ya kufutwa kwa shauri ........................ Sababu za maombi ya kutengua amri ya kufuta shauri:-
...........................................................................................
...........................................................................................
Nathibitisha kwamba yote niliyoeleza hapo juu ni kweli kwa kadri nijuvyo.
Tarehe ...... Mwezi ...... Mwaka ...... Mahali ......
Sahihi ya Mdai
Imepokelewa leo hii Tarehe........ Mwezi ........Mwaka ........
Ada ya Mahakama
Karani wa Mahakama